Sekta ya uvuvi yastawi katika Shamba la Milin mkoani Xizang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2024
Sekta ya uvuvi yastawi katika Shamba la Milin mkoani Xizang, China
Picha iliyopigwa Oktoba 24, 2024 ikionesha mwonekano wa eneo maalum la sayansi na teknolojia ya uvuvi wa uwanda wa juu la Shamba la Milin katika Mji wa Nyingchi, Mkoa wa Xizang, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Li He)

Shamba la Milin katika Mji wa Nyingchi, Mkoani Xizang, kusini-magharibi mwa China limekuwa likiendeleza shughuli za ufugaji samaki kwenye uwanda wa juu tangu Mwaka 2022 kwa kusaidiwa na Mji wa Zhuhai kusini mwa China.

Shamba hilo limeanzisha eneo maalum la sayansi na teknolojia ya uvuvi wa uwanda wa juu kwa kutegemea hali yake mwafaka ya mazingira ya asili, na limetafuta muundo unaofaa kwa maendeleo ya sekta ya uvuvi ya mkoa huo.

Kuna kilo zaidi ya 50,000 za samaki katika shamba hilo kwa sasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha