Wanafunzi na walimu watembelea maonyesho ya picha kuhusu mageuzi ya kihistoria ya China mjini Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2024
Wanafunzi na walimu watembelea maonyesho ya picha kuhusu mageuzi ya kihistoria ya China mjini Beijing
Mfanyakazi akitoa maelezo kuhusu picha kwa wanafunzi na walimu kwenye maonyesho ya picha yaliyofanyika katika Kituo cha kitaifa cha Taarifa za Mambo ya Fedha cha China mjini Beijing, Oktoba 30, 2024. (Xinhua/Cai Yang)

Maonyesho ya Picha za Kuonesha Mageuzi ya Kihistoria ya China katika vipindi mbalimbali yamefanyika mjini Beijing, China. Maonyesho hayo yaliyoandaliwa na shirika la habari la China, Xinhua, yanaonesha uhifadhi wa picha za mageuzi ya kihistoria ya China katika miongo kadhaa iliyopita. Vinavyooneshwa ni picha karibu 500 za vipindi mbalimbali vya kihistoria, zilizochaguliwa kutoka kwenye mkusanyiko wa picha zaidi ya milioni 10 wa shirika hilo la Xinhua, ambao ni hifadhi kubwa zaidi ya picha nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha