Lugha Nyingine
Wanafunzi na walimu watembelea maonyesho ya picha kuhusu mageuzi ya kihistoria ya China mjini Beijing
Maonyesho ya Picha za Kuonesha Mageuzi ya Kihistoria ya China katika vipindi mbalimbali yamefanyika mjini Beijing, China. Maonyesho hayo yaliyoandaliwa na shirika la habari la China, Xinhua, yanaonesha uhifadhi wa picha za mageuzi ya kihistoria ya China katika miongo kadhaa iliyopita. Vinavyooneshwa ni picha karibu 500 za vipindi mbalimbali vya kihistoria, zilizochaguliwa kutoka kwenye mkusanyiko wa picha zaidi ya milioni 10 wa shirika hilo la Xinhua, ambao ni hifadhi kubwa zaidi ya picha nchini China.
Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Wanariadha wa Ethiopia washinda mbio za Marathon za Amsterdam
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma