Lugha Nyingine
Idadi ya kulungu milu yaongezeka kutokana na juhudi za uhifadhi kwenye Hifadhi ya Mashariki mwa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2024
Kulungu milu wakionekana katika Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira Asilia ya Kulungu Milu ya Dafeng, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 28, 2024. (Xinhua/Deng Hua) |
Shukrani kwa juhudi zilizoimarishwa katika ulinzi wa ikolojia na uhifadhi wa wanyama, Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira Asilia ya Kulungu Milu ya Dafeng nchini China imekaribisha vitoto 825 vipya vya kulungu milu, spishi maalumu inayopatikana nchini China pekee.
Hadi kufikia sasa mwaka huu. Idadi ya kulungu milu katika hifadhi hiyo imezidi 8,200, ikiwa ni pamoja na takriban 3,500 wanaoishi kivyao porini.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Wanariadha wa Ethiopia washinda mbio za Marathon za Amsterdam
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma