Idadi ya kulungu milu yaongezeka kutokana na juhudi za uhifadhi kwenye Hifadhi ya Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2024
Idadi ya kulungu milu yaongezeka kutokana na juhudi za uhifadhi kwenye Hifadhi ya Mashariki mwa China
Kulungu milu wakionekana katika Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira Asilia ya Kulungu Milu ya Dafeng, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 28, 2024. (Xinhua/Li Bo)

Shukrani kwa juhudi zilizoimarishwa katika ulinzi wa ikolojia na uhifadhi wa wanyama, Hifadhi ya Kitaifa ya Mazingira Asilia ya Kulungu Milu ya Dafeng nchini China imekaribisha vitoto 825 vipya vya kulungu milu, spishi maalumu inayopatikana nchini China pekee.

Hadi kufikia sasa mwaka huu. Idadi ya kulungu milu katika hifadhi hiyo imezidi 8,200, ikiwa ni pamoja na takriban 3,500 wanaoishi kivyao porini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha