Maonyesho ya 7 ya CIIE yaandaa shughuli mbalimbali za kitamaduni ili kuhimiza mawasiliano kati ya watu na watu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2024
Maonyesho ya 7 ya CIIE yaandaa shughuli mbalimbali za kitamaduni ili kuhimiza mawasiliano kati ya watu na watu
Wasanii wakicheza dansi kwenye banda la Rwanda wakati wa Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) huko Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 6, 2024. (Picha na Zhou Xinyi/Xinhua)

Maonyesho ya 7 ya CIIE yanaandaa shughuli mbalimbali za kitamaduni ili kuhimiza mawasiliano kati ya watu na watu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha