Maonyesho ya 7 ya CIIE yaandaa shughuli mbalimbali za kitamaduni ili kuhimiza mawasiliano kati ya watu na watu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2024
Maonyesho ya 7 ya CIIE yaandaa shughuli mbalimbali za kitamaduni ili kuhimiza mawasiliano kati ya watu na watu
Wasanii wakicheza dansi kwenye uwanja wa kati wa Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano (Shanghai) wakati wa Maonyesho ya 7 ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE), mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 5, 2024. (Xinhua/Zhang Cheng)

Maonyesho ya 7 ya CIIE yanaandaa shughuli mbalimbali za kitamaduni ili kuhimiza mawasiliano kati ya watu na watu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha