Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China yakuza kuonyesha bidhaa bora za Afrika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2024
Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China yakuza kuonyesha bidhaa bora za Afrika
Mgeni akipiga picha na mwonyeshaji katika Banda la Afrika Kusini wakati wa Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) huko Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 8, 2024. (Xinhua/Wang Yijie)

Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) mwaka huu limepanua zaidi ushiriki wa nchi na chapa za Afrika katika eneo la mabanda ya nchi na eneo la Chakula na Mazao ya Kilimo, ambapo bidhaa mbalimbali zenye ubora wa juu za Afrika zimeonyeshwa.  

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha