Lugha Nyingine
Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China yakuza kuonyesha bidhaa bora za Afrika
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2024
Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) mwaka huu limepanua zaidi ushiriki wa nchi na chapa za Afrika katika eneo la mabanda ya nchi na eneo la Chakula na Mazao ya Kilimo, ambapo bidhaa mbalimbali zenye ubora wa juu za Afrika zimeonyeshwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma