Sherehe ya harusi za wanandoa wapya wengi yafanyika katika mji wa kale wa Fenghuang mkoani Hunan, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
Sherehe ya harusi za wanandoa wapya wengi yafanyika katika mji wa kale wa Fenghuang mkoani Hunan, China
Wanandoa wapya waliovalia mavazi ya harusi wakiwa kwenye paredi katika mji wa kale wa Fenghuang, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Watujia na Wamiao la Xiangxi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Novemba 11, 2024. (Picha na Guo Liliang/Xinhua)

Wanandoa mia moja kutoka sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye sherehe kubwa ya harusi za wanandoa wapya katika mji wa kale wa Fenghuang, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Watujia na Wamiao la Xiangxi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China siku ya Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha