

Lugha Nyingine
Sherehe ya harusi za wanandoa wapya wengi yafanyika katika mji wa kale wa Fenghuang mkoani Hunan, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Novemba 11, 2024 ikionyesha mwonekano wa sherehe ya harusi za wanandoa wapya wengi katika mji wa kale wa Fenghuang, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Watujia na Wamiao la Xiangxi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Picha na Guo Liliang/Xinhua) |
Wanandoa mia moja kutoka sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye sherehe kubwa ya harusi za wanandoa wapya katika mji wa kale wa Fenghuang, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Watujia na Wamiao la Xiangxi, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China siku ya Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma