Tamasha la utalii lenye kujikita katika barafu na theluji lafunguliwa katika Mongolia ya Ndani, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2024
Tamasha la utalii lenye kujikita katika barafu na theluji lafunguliwa katika Mongolia ya Ndani, China
Picha ya droni iliyopigwa Novemba 16, 2024 ikionyesha watalii chini ya kundi la volkano la Ulan Hada mjini Ulanqab, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China.

Tamasha la utalii lenye kujikita katika barafu na theluji limefunguliwa mjini Ulanqab, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China siku ya Jumamosi, ambalo litadumu kwa miezi mitano.

(Picha na Wang Zheng/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha