Tamasha la utalii lenye kujikita katika barafu na theluji lafunguliwa katika Mongolia ya Ndani, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2024
Tamasha la utalii lenye kujikita katika barafu na theluji lafunguliwa katika Mongolia ya Ndani, China
Watalii wakishiriki katika shughuli ya barafu na theluji kwenye uwanja wa michezo ya kuteleza kwenye barafu mjini Ulanqab, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Novemba 16, 2024.

Tamasha la utalii lenye kujikita katika barafu na theluji limefunguliwa mjini Ulanqab, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China siku ya Jumamosi, ambalo litadumu kwa miezi mitano.

(Picha na Wang Zheng/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha