

Lugha Nyingine
Manowari za Kikosi cha Majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zatembelea Hong Kong (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2024
Manowari za Kikosi cha Majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zinazojumuisha manowari ya mashambulizi ya Hainan na manowari ya kuharibu makombora ya Changsha zimetembelea Hong Kong kuanzia Novemba 21 hadi 25.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma