

Lugha Nyingine
Manowari za Kikosi cha Majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zatembelea Hong Kong
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2024
![]() |
Manowari ya kuharibu makombora ya Changsha ikiondoka kwenye gati la Kisiwa cha Stonecutters huko Hong Kong, kusini mwa China, Novemba 25, 2024. (Picha na Yi Ding/Xinhua) |
Manowari za Kikosi cha Majini cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zinazojumuisha manowari ya mashambulizi ya Hainan na manowari ya kuharibu makombora ya Changsha zimetembelea Hong Kong kuanzia Novemba 21 hadi 25.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma