Mawimbi ya Baridi Kali Yaikumba China, Maeneo Mengi Yashuhudia Kuanguka kwa Theluji (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2024
Mawimbi ya Baridi Kali Yaikumba China, Maeneo Mengi Yashuhudia Kuanguka kwa Theluji
Picha hii ya droni iliyopigwa Novemba 25, ikionyesha mandhari baada ya theluji kuanguka katika Mji wa Lanzhou, Mkoani Gansu, China. (Picha na Lv Yalong/ Xinhua)

Kutokana na athari za mawimbi ya baridi kali, maeneo mengi ya Kaskazini Magharibi, Kaskazini, na Kaskazini Mashariki mwa China yameshuhudia kuanguka kwa theluji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha