Lugha Nyingine
Mawimbi ya Baridi Kali Yaikumba China, Maeneo Mengi Yashuhudia Kuanguka kwa Theluji
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2024
Picha hii ya droni iliyopigwa Novemba 25, ikionyesha Ukuta Mkuu baada ya theluji kuanguka katika Mji wa Zunhua, Mkoani Hebei, China. (Picha na Liu Mancang/ Xinhua) |
Kutokana na athari za mawimbi ya baridi kali, maeneo mengi ya Kaskazini Magharibi, Kaskazini, na Kaskazini Mashariki mwa China yameshuhudia kuanguka kwa theluji.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma