Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa yafunguliwa Beijing (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2024
Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa yafunguliwa Beijing
Watu wakitembelea kwenye eneo la maonyesho la Kampuni ya CRRC kwenye Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa mjini Beijing, Novemba 26, 2024. (Xinhua/Zhang Haofu)

Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa yanayoandaliwa na Kamati ya Uhimizaji wa Biashara ya Kimataifa ya China yameanza jana Jumanne mjini Beijing, kauli mbiu ya maonesho hayo ni “Kuunganisha Dunia, Kujenga pamoja siku za baadaye” . 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha