Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa yafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2024
Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa yafunguliwa Beijing
Picha hii iliyopigwa Novemba 26, 2024 ikionyesha hali ya kufunguliwa kwa Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa (CISCE) mjini Beijing, China. (Xinhua/Xing Guangli)

Maonyesho ya pili ya China ya minyororo ya usambazaji wa bidhaa ya Kimataifa yanayoandaliwa na Kamati ya Uhimizaji wa Biashara ya Kimataifa ya China yameanza jana Jumanne mjini Beijing, kauli mbiu ya maonesho hayo ni “Kuunganisha Dunia, Kujenga pamoja siku za baadaye” . 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha