Lugha Nyingine
Mkutano wa Washirika wa Panda Duniani Mwaka 2024 wafunguliwa mjini Chengdu, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2024
Mkutano wa Washirika wa Panda Duniani Mwaka 2024 umefunguliwa mjini Chengdu, Mkoani Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, siku ya Jumanne Novemba 26, 2024 ukiwa na kaulimbiu ya "Kuishi Pamoja kwa Mapatano kati Binadamu na Mazingira ya Asili."
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma