Lugha Nyingine
Mji wa Shenyang, China wako tayari kupokea mabaki ya askari wahanga kurejeshwa kutoka Jamhuri ya Korea
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 28, 2024
Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China uko tayari kupokea mabaki ya askari wahanga 43 wa Jeshi la Kujitolea la Watu wa China kutoka Jamhuri ya Korea, ambao walifariki wakati wa Vita vya Kupinga Mabavu ya Marekani na Kuisaidia Korea. Hii ni mara ya 11 kurejeshwa nyumbani kwa mabaki ya askari hao tangu mwaka 2014, kufuatia makubaliano ya makabidhiano yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Taihe, Jiangxi, China: Ujenzi wa Daraja la Chengjiang waendelea kwa kasi
Mawimbi ya Baridi Kali Yaikumba China, Maeneo Mengi Yashuhudia Kuanguka kwa Theluji
Theluji yaanguka kwa mara ya kwanza mwaka huu kwenye Milima Emei, China
Mkutano wa 19 wa Viongozi wa Kundi la 20 (G20) kufanyika Rio de Janeiro
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma