Mradi wa kipindi cha 2 wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China wako tayari kuanza kazi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2024
Mradi wa kipindi cha 2 wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China wako tayari kuanza kazi
Wafanyakazi wakifanya kazi ya usafi ndani ya kituo cha mikutano na maonyesho kikiwa ni sehemu ya mradi wa kipindi cha pili wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China, mjini Beijing, mji mkuu wa China, Novemba 28, 2024. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Baada ya kukamilika kwake, jengo kuu la mradi huo na hoteli zake, majengo ya ofisi na majengo ya kibiashara yanaunda miundombinu jumuishi wa maonyesho wenye ukubwa wa mita za mraba zaidi ya milioni 1.3 pamoja na kipindi cha kwanza cha Kitaifa cha Mikutano cha China, kikikidhi mahitaji ya shughuli za ngazi ya juu za serikali, shughuli kubwa za mawasiliano ya kimataifa na huduma za maonyesho ya kibiashara. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha