Mradi wa kipindi cha 2 wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China wako tayari kuanza kazi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2024
Mradi wa kipindi cha 2 wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China wako tayari kuanza kazi
Kituo cha mikutano na maonyesho, jengo kuu la mradi wa kipindi cha pili wa Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China, kimefaulu kwa mafanikio tathmini yake ya kukamilika na ile ya udhibiti wa moto katika siku za hivi karibuni. Vifaa vyote katika kituo hicho vimefikia kiwango cha matumizi ili kuandaa aina mbalimbali za shughuli. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Baada ya kukamilika kwake, jengo kuu la mradi huo na hoteli zake, majengo ya ofisi na majengo ya kibiashara yanaunda miundombinu jumuishi wa maonyesho wenye ukubwa wa mita za mraba zaidi ya milioni 1.3 pamoja na kipindi cha kwanza cha Kitaifa cha Mikutano cha China, kikikidhi mahitaji ya shughuli za ngazi ya juu za serikali, shughuli kubwa za mawasiliano ya kimataifa na huduma za maonyesho ya kibiashara. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha