Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya China na kusini mashariki mwa Afrika yafunguliwa Qingdao, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 17, 2024
Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya China na kusini mashariki mwa Afrika yafunguliwa Qingdao, China
Picha iliyopigwa kwa droni tarehe 16 Desemba 2024 ikionyesha gari la kihandisi likipakiwa kwenye meli ya mizigo "GREEN NAGOYA" katika Bandari ya Qingdao ya Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya Mji wa Qingdao wa China na kusini mashariki mwa Afrika imefunguliwa rasmi jana Jumatatu. Ikiwa inatoa huduma kila wiki, njia hiyo inaongeza njia mbadala ya usafiri wa baharini iliyo salama na ya haraka kati ya China na Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha