Kukaribisha Mwaka Mpya (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2024
Kukaribisha Mwaka Mpya
Watu wakifanya onyesho kwenye Tamasha la Mila na Utamaduni ya kusherehekea Mwaka Mpya katika eneo la Wucheng, mjini Jinhua, Mkoani Zhejiang, Desemba 29. (Picha na Hu Xiaofei/ Xinhua)

Mwaka Mpya wa 2025 unakaribia, na maeneo mbalimbali yamepambwa kwa mapambo mapya na kufanya shughuli mbalimbali za kukaribisha mwaka mpya.  

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha