

Lugha Nyingine
Kukaribisha Mwaka Mpya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2024
![]() |
Watu wakinunua mapambo ya kusherehe Mwaka Mpya katika Soko la Yuqiao mjini Nanjing, Mkoani Jiangsu, Desemba 29.(Picha na Liu Jianhua/ Xinhua) |
Mwaka Mpya wa 2025 unakaribia, na maeneo mbalimbali yamepambwa kwa mapambo mapya na kufanya shughuli mbalimbali za kukaribisha mwaka mpya.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma