

Lugha Nyingine
Katika picha: matumizi ya teknolojia za hali ya juu za AI katika bustani za sehemu mbalimbali za Shenzhen, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 31, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa Desemba 27, 2024 ikionyesha gari la teknolojia za kisasa linalojiendesha bila dereva katika Bustani ya Lianhuashan mjini Shenzhen. (Xinhua/Liang Xu) |
Katika bustani mbalimbali mjini Shenzhen, matumizi ya teknolojia za hali ya juu za AI yanapatikana kila mahali, yakifanya teknolojia kuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa umma.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma