Katika picha: matumizi ya teknolojia za hali ya juu za AI katika bustani za sehemu mbalimbali za Shenzhen, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 31, 2024
Katika picha: matumizi ya teknolojia za hali ya juu za AI katika bustani za sehemu mbalimbali za Shenzhen, China
Mtalii wa kigeni akipata maelekezo kuhusu chumba cha kuogea cha teknolojia za kisasa katika Bustani ya Lianhuashan mjini Shenzhen, Desemba 27, 2024. (Xinhua/Liang Xu)

Katika bustani mbalimbali mjini Shenzhen, matumizi ya teknolojia za hali ya juu za AI yanapatikana kila mahali, yakifanya teknolojia kuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa umma.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha