Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 02, 2025
Siku ya Mwaka Mpya yaadhimishwa kote China
Watu wakitembelea jumba la sanaa mjini Chengdu, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Januari 1, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie)

Watu katika sehemu mbalimbali kote nchini China kama walivyofanya watu wa nchi mbalimbali duniani kote wamejiburudisha kwa shughuli mbalimbali, kusherehekea siku ya kwanza ya mwaka 2025 jana Jumatano, Januari 1 ambayo ilikuwa siku ya mapumziko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha