

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika kote China kukaribisha sikukuu ya Laba (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2025
![]() |
Wakazi wakipokea uji wa Laba katika Mji wa Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Januari 6, 2025. (Picha na Yi Fan/Xinhua) |
Shughuli mbalimbali zimefanyika nchini kote China ili kukaribisha sikukuu ya Laba ambayo imeangukia siku ya leo Jumanne, Januari 7 mwaka huu.
Sikukuu hiyo ambayo kwa kawaida husherehekewa kila mwaka siku ya 8 ya mwezi wa 12 kwenye Kalenda ya Kilimo ya China kwa kawaida huchukuliwa kama mwanzo wa msimu wa sherehe ya mwaka mpya wa jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma