

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali zafanyika kote China kukaribisha sikukuu ya Laba
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2025
Shughuli mbalimbali zimefanyika nchini kote China ili kukaribisha sikukuu ya Laba ambayo imeangukia siku ya leo Jumanne, Januari 7 mwaka huu.
Sikukuu hiyo ambayo kwa kawaida husherehekewa kila mwaka siku ya 8 ya mwezi wa 12 kwenye Kalenda ya Kilimo ya China kwa kawaida huchukuliwa kama mwanzo wa msimu wa sherehe ya mwaka mpya wa jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma