Upendo na Ulinzi: Picha za Kumbukumbu za uokoaji wa maafa ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa kipimo cha 6.8 katika Wilaya ya Dingri mkoani Xizang (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2025
Upendo na Ulinzi: Picha za Kumbukumbu za uokoaji wa maafa ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa kipimo cha 6.8 katika Wilaya ya Dingri mkoani Xizang
Tarehe 8, Januari, makada na wakazi wakipokezana kwa kupeleka vitu vya uokoaji na msaada kwenye kituo cha kutoa vitu vya msaada cha serikali ya Wilaya ya Dingri. (Xinhua/Ding Ting)

Asubuhi ya tarehe 7, Januari, tetemeko la ardhi la kipimo cha 6.8 lilitokea katika Wilaya ya Dingri ya Mji wa Xigaze wa Xizang, China. Tetemeko hilo limesababisha vifo wa watu wengi na kubomoka kwa nyumba nyingi .

Baada ya tetemeko la ardhi kutokea, watu wa sekta mbalimbali wametoa kwa haraka msaada wao wenye moyo wa upendo na ulinzi. Timu za uokoaji zimekusanyika kwenye eneo lililoathirika katika tetemeko la ardhi, zikitafuta watu walionusurika na kulinda mali za watu kwa kadri wawezavyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha