Onyesho la ghafla kwa muda mfupi la kundi la wasanii lafanyika kuhamasisha Michezo ya 9 ya Majira ya Baridi ya Asia mjini Harbin, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2025
Onyesho la ghafla kwa muda mfupi la kundi la wasanii lafanyika kuhamasisha Michezo ya 9 ya Majira ya Baridi ya Asia mjini Harbin, China
Mpiga fidla na watoto wakitumbuiza onyesho la ghafla kwa muda mfupi katika Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 12, 2025.

Onyesho la ghafla kwa muda mfupi la kundi la wasanii limefanyika siku ya Jumapili, Januari 12 ili kuhamasisha Michezo ijayo ya 9 ya Majira ya Baridi ya Asia iliyopangwa kufanyika kuanzia Februari 7.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha