

Lugha Nyingine
Onyesho la ghafla kwa muda mfupi la kundi la wasanii lafanyika kuhamasisha Michezo ya 9 ya Majira ya Baridi ya Asia mjini Harbin, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2025
![]() |
Picha ya droni ikionyesha mandhari ya Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 12, 2025. (Picha na Zhang Tao/ Xinhua) |
Onyesho la ghafla kwa muda mfupi la kundi la wasanii limefanyika siku ya Jumapili, Januari 12 ili kuhamasisha Michezo ijayo ya 9 ya Majira ya Baridi ya Asia iliyopangwa kufanyika kuanzia Februari 7.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma