

Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2025
![]() |
Wasanii wa China wakitoa burudani ya sanaa kwenye Tamasha la “Kheri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China” lililofanyika mjini Rabat, mji mkuu wa Morocco, Januari 15. (Picha na Huo Jing/Xinhua) |
Ili kusherehekea ujio wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Nyoka kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China, shughuli mbalimbali za Mwaka Mpya wa Jadi wa China zimekuwa zikifanyika katika nchi mbalimbali duniani.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma