Shughuli mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2025
Shughuli mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi
Kikundi cha wasanii kutoka China kikitumbuiza sarakasi kwenye maonyesho ya sanaa ya “Kheri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China” mjini Helsinki, mji mkuu wa Finland, Januari 22. (Picha na Matti Matikainen/Xinhua)

Ili kusherehekea ujio wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Nyoka kwa mujibu wa kalenda ya kilimo ya China, shughuli mbalimbali za Mwaka Mpya wa Jadi wa China zimekuwa zikifanyika katika nchi mbalimbali duniani.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha