

Lugha Nyingine
Barabara ya Yaxue yawapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni mkoani Heilongjiang, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 27, 2025
![]() |
Watalii wakitembea kuyapita mapambo yenye maudhui ya Michezo ya Majira ya Baridi ya Asia Mwaka 2025 kwenye eneo la kivutio cha utalii la "Kijiji cha Theluji" cha China huko Mudanjiang, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 24, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei) |
Ikiwa ni sehemu ya barabara kuu ya kitaifa ya G333, Barabara ya Yaxue inaunganisha Miji ya Harbin, Yabuli na "Kijiji cha theluji", ambavyo vyote ni vyenye vivutio mashuhuri vya utalii vya majira ya baridi katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, vikiwapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni wa eneo hilo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma