Barabara ya Yaxue yawapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni mkoani Heilongjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 27, 2025
Barabara ya Yaxue yawapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni mkoani Heilongjiang, China
Watu wakitembelea Eneo la Mapumziko ya Michezo ya Kuteleza kwenye Theluji la Yabuli lililoko kando ya Barabara ya Yaxue huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Januari 16, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei)

Ikiwa ni sehemu ya barabara kuu ya kitaifa ya G333, Barabara ya Yaxue inaunganisha Miji ya Harbin, Yabuli na "Kijiji cha theluji", ambavyo vyote ni vyenye vivutio mashuhuri vya utalii vya majira ya baridi katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, vikiwapa watalii haiba ya mazingira ya asili na mvuto wa kitamaduni wa eneo hilo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha