Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2025
Watu wafurahia shughuli mbalimbali kote China wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Watalii wakiwa wamepanda meli ya utalii wa mandhari ili kufurahia mandhari ya usiku mjini Chongqing, Kusini Magharibi mwa China wakati wa mapumziko ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China Januari 31, 2025. (Picha/CFP)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha