Mji wa Sanya wa China wapokea zaidi ya watalii milioni 2.56 wakati wa likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2025
Mji wa Sanya wa China wapokea zaidi ya watalii milioni 2.56 wakati wa likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Watalii wakiburudika kwenye eneo la kivutio cha watalii la Dadonghai mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Februari 6, 2025. (Xinhua/Zhao Yingquan)

Mji wa Sanya katika Mkoa wa Hainan, kusini mwa China umepokea watalii zaidi ya milioni 2.56 wakati wa likizo ya siku 8 ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyomalizika mapema wiki hii, ukizalisha yuan bilioni 6.7 (dola za Kimarekani kama milioni 920) katika mapato yatokanayo na utalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha