

Lugha Nyingine
Mji wa Sanya wa China wapokea zaidi ya watalii milioni 2.56 wakati wa likizo ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2025
![]() |
Watalii wakiburudika kwenye eneo la kivutio cha watalii la Dadonghai mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Februari 6, 2025. (Xinhua/Zhao Yingquan) |
Mji wa Sanya katika Mkoa wa Hainan, kusini mwa China umepokea watalii zaidi ya milioni 2.56 wakati wa likizo ya siku 8 ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi iliyomalizika mapema wiki hii, ukizalisha yuan bilioni 6.7 (dola za Kimarekani kama milioni 920) katika mapato yatokanayo na utalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Mwaka Mpya wa Jadi wa China washerehekewa sehemu mbalimbali duniani
Shughuli mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China zafanyika katika Nchi Nyingi
Muonekano wa Kisiwa cha Weizhou katika Mkoa wa Guangxi, Kusini mwa China
Hafla ya Kukaribisha Panda wa China yafanyika katika Bustani ya Wanyama ya Adelaide, Australia
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma