Maonyesho ya picha ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" yafunguliwa Kenya (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
Maonyesho ya picha ya
Zainab Hawa Bangura (wa pili kulia), mkurugenzi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa Nairobi, akitembelea kwenye maonyesho ya picha za habari ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" huko Nairobi, Kenya,Februari 12, 2025. (Picha na Wang Guansen/Xinhua)

Maonyesho ya picha za habari ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" yalifunguliwa Jumatano kwenye Ubalozi wa China huko Nairobi, Kenya.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha