

Lugha Nyingine
Maonyesho ya picha ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" yafunguliwa Kenya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2025
![]() |
Wasanii wakicheza ngoma kwenye maonyesho ya picha za habari ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" huko Nairobi, Kenya, Februari 12, 2025. (Picha na Wang Guansen/Xinhua) |
Maonyesho ya picha za habari ya "Lens of Xinhua, Images of the Century" yalifunguliwa Jumatano kwenye Ubalozi wa China huko Nairobi, Kenya.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma