

Lugha Nyingine
Watu mjini Lhasa, China wafanya maandalizi ya sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Watibet (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2025
![]() |
Mchuuzi akiuza bidhaa za maziwa kwenye soko mjini Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Februari 24, 2025. (Xinhua/Jiang Fan) |
Watu wa katika Mji wa Lhasa ulioko Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China wako katika pilika pilika za kufanya maandalizi kabla ya sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Watibet.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma