Watu mjini Lhasa, China wafanya maandalizi ya sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Watibet

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2025
Watu mjini Lhasa, China wafanya maandalizi ya sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Watibet
Wachuuzi wakipanga bidhaa katika soko mjini Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Februari 24, 2025. (Xinhua/Jigme Dorje)

Watu wa katika Mji wa Lhasa ulioko Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China wako katika pilika pilika za kufanya maandalizi kabla ya sikukuu ijayo ya Mwaka Mpya wa Watibet.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha