Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China chafanyika mjini Beijing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2025
Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China chafanyika mjini Beijing, China
Zhao Leji, mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la 14 la Umma la China akiwasilisha ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya Bunge hilo kwenye Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 8, 2025. (Xinhua/Ding Haitao)

Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China unaoendelea kimefanyika mjini Beijing, mji mkuu wa China jana Jumamosi, Machi 8.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha