Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China chafanyika mjini Beijing, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2025
Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China chafanyika mjini Beijing, China
Zhang Jun, Mkuu wa Mahakama Kuu ya Umma ya China, akiwasilisha ripoti ya kazi ya Mahakama hiyo kwenye Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Machi 8, 2025. (Xinhua/Shen Hong)

Kikao cha pili cha wajumbe wote cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China unaoendelea kimefanyika mjini Beijing, mji mkuu wa China jana Jumamosi, Machi 8.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha