

Lugha Nyingine
Utalii wa majira ya mchipuko waonyesha uhai wa uchumi nchini China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 26, 2025
![]() |
Watalii wakijaribu vipodozi vya kijadi vya China kwenye maonyesho ya mambo ya majira ya mchipuko kwenye Bustani ya Jengo la Yuyuan mjini Shanghai, mashariki mwa China, Machi 20, 2025. (Xinhua/Liu Ying) |
BEIJING - Wakiwa na shauku ya kuwa huru kutoka kwenye vizuizi vya majira ya baridi, watu wa China wanakumbatia shughuli mbalimbali za majira ya mchipuko huku majira hayo yakitoa fursa zisizo na kikomo za kufurahia uzuri wa mazingira ya asili.
Kadiri halijoto inavyozidi kuongezeka, shughuli zikiwemo za kutazama mandhari, kufurahia maua, kuchuma majani ya chai, na kwenda sokoni zimechochea "uchumi wa majira ya mchipuko" unaostawi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma