

Lugha Nyingine
Siku ya Kimataifa ya Wauguzi yaadhimishwa katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
Wauguzi wa Hospitali ya Kimongolia ya Kimataifa ya Mongolia ya Ndani mjini Hohhot, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China wamekuwa na shughuli nyingi za kuwahudumia wagonjwa kwenye vituo vyao vya kazi katika Siku ya Kimataifa ya Wauguzi ambayo huadhimishwa kote duniani kila ifikapo Mei 12 ya kila mwaka.
Kwa kupitia kazi ya kuunganisha matibabu za kijadi za Kimongolia kama vile kutumia chai, divai na moxibustion na mbinu za kisasa za uuguzi, wauguzi hao wanatoa huduma kwa wagonjwa ambazo zinaonesha umaalum wa matibabu ya kikabila.
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yaanza Shanghai
Shaolin Kungfu, chombo muhimu cha mawasiliano ya Utamaduni wa China na ulimwengu wa nje
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma