Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Zana za Polisi ya China yafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2025
Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Zana za Polisi ya China yafanyika Beijing
Mtembeleaji akijaribu kifaa cha kulenga kinachotumia mwanga wa infrared kwenye Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Zana za Polisi ya China hapa Beijing, mji mkuu wa China, Mei 14, 2025.(Xinhua/Cai Yang)

Maonyesho hayo yamekuwa yakifanyika Beijing kuanzia Jumatano hadi Jumamosi, yakionyesha teknolojia za kisasa na vifaa vya hali ya juu kama vile teknolojia ya upashanaji habari ya kizazi kijacho, teknolojia ya AI na raslimali mpya.

Maonyesho hayo yanayoandaliwa na Wizara ya Usalama wa Umma yamevutia makampuni ya ndani na makampuni 30 kutoka nchi 11, ikiwa ni pamoja na Marekani na Canada.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha